Tuesday, August 12, 2014

MUSIC ON DEMAND

Kutana na vichwa adimu katika kuimba na kuchana am talking about August alsina,Chris brown,Future and Jeremih,hivi vichwa vimekutanishwa na mzee mzima DJ KHALED katika pini inayokwenda kwa jina la "HOLD YOU DOWN",speaking of Dj Khaled ana brand ya head4n kama pesa inarusu fanya kuagiza mzazi upate midundo usahau shida za dunia,then huyu jamaa August Alsina ana ulbum inaitwa Testmony fanya kuitafuta hutojuta kutumia bundle lako hapo chris&usher dizaini kama wanakaa kwa vocal ya jamaa.hebu fanya kubonyeza link hii hapa

http://www.audiomack.com/song/diversehiphop/hold-you-down-feat-chris-brown-august-alsina-future-jeremih-1

No comments:

Post a Comment