Friday, May 15, 2015

kwa mwendo huu wacha wote tuwe wez tuu...

sasa hili balaa sio wizi tena ishakuwa kaz naona watu waniba kwa kutumia akil kuliko maishayao wenywe daa balaa sasa.....
smthi kacheza balaa humu ndan    pata kuichek torrent mzigu umewekwa kitambo san...

http://kat.cr/focus-i2381941/


chek hii link apo juu kushusah mzigo

may is on fire

muvi kall zote zatoka mwez huu ni shida
1;AVENGERS
2;SON ANDREA
3;MAD MAX
4;PETCH PAFECT
5;MISSION IMPOSIBLE
NA nyingine kibao andaa bando tuu avengers tayar mzigo upo kickass
wepess wenu tuu
 
 
hii mad max
wewe tuu apo minishafanya yangu

Wednesday, January 28, 2015

New muvs

John wick
Ndo habar ya mjini sahv
Kama ni mpenda muv za kivita make sure uneichek hii leo kabla ujalala
FURY....
Mkataba mmoja mbaya sana

Sunday, September 7, 2014

its all abt physics nw


kuanzia leo i wll be post abt physics tena sanasana theoretical physics so your all welcome to ma page leo tunaanza na Michio Kaku  The Universe in a Nutshell chek hii the i wll give out more concepts   




chek hiii then coment umejifunza nn kwenye hii kitu.....

Tuesday, August 12, 2014

MUSIC ON DEMAND

Kutana na vichwa adimu katika kuimba na kuchana am talking about August alsina,Chris brown,Future and Jeremih,hivi vichwa vimekutanishwa na mzee mzima DJ KHALED katika pini inayokwenda kwa jina la "HOLD YOU DOWN",speaking of Dj Khaled ana brand ya head4n kama pesa inarusu fanya kuagiza mzazi upate midundo usahau shida za dunia,then huyu jamaa August Alsina ana ulbum inaitwa Testmony fanya kuitafuta hutojuta kutumia bundle lako hapo chris&usher dizaini kama wanakaa kwa vocal ya jamaa.hebu fanya kubonyeza link hii hapa

http://www.audiomack.com/song/diversehiphop/hold-you-down-feat-chris-brown-august-alsina-future-jeremih-1

Thursday, August 7, 2014

MANHATTAN......new series in town...


Set against the backdrop of the greatest clandestine race against time in the history of science with the mission to build the world's first atomic bomb in Los Alamos, New Mexico. Flawed ... See full summary »

Creator:

 

kwakwel wacha niwe popo tuu nitakesha mpaka hii series ikate mzigo nimeuelewa noma... link hii apo chin mshwinde nyie tuu





kwawle ma scientist don't miss this ndomapinduz ya nanotechnology yalipoanzia apo....








Tuesday, August 5, 2014

GALAXY 11 - soccer stars vs aliens in Samsung's new ad campaign



"Winner takes Earth" in Samsung's newest marketing campaign. The Koreans have always had a strong liking for peculiar and over-the-top marketing campaigns, but their latest one is probably the most unusual we've seen so far. As the Galaxy line of high-end devices already received its annual updates, Sammy is throwing a lot of resources to promote its latest products. And when it comes to global marketing, the Korean giant is aware that soccer stars are one of the most recognizable faces worldwide. 

So they decided to create the best soccer team in the world and name it "Galaxy 11". But how to combine soccer with smartphones, tablets and smartwatches? Well, according to the biggest smartphone manufacturer by volume, it's simple - we arm our soccer stars with Samsung Galaxy gadgets like the Note 3, Note 10.1 and the Galaxy Gear, and face them against aliens in an improvised soccer game that will ''determine the fate of mankind and our planet".








video yake hiii apo chin wewe tuu..